Msaada:

KANAL

Senior Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
112
Reaction score
64
wana jf naomba mwenye kufahamu taratibu za kusajiri kampuni ya ulinzi,pamoja nanamna ya kupatakibali kutoka polisi.
 
Jaribu kwenda wizara ya mambo ya ndani utapata maelezo yote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…