Democrasia Member Joined Feb 1, 2008 Posts 79 Reaction score 3 Sep 1, 2009 #1 Kuna kitu huwa nakisikia sana kwa watu, kinaitwa 'CORPORATE GOVERNANCE' nini maana yake na limesababishwa na nini?
Kuna kitu huwa nakisikia sana kwa watu, kinaitwa 'CORPORATE GOVERNANCE' nini maana yake na limesababishwa na nini?
Z Zamazamani JF-Expert Member Joined Jun 13, 2008 Posts 1,869 Reaction score 787 Sep 1, 2009 #2 ni lugha ya kisiasa tu......hakuna lolote jipya hapo