Babu wa Loliondo
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 323
- 105
Heri ya mwaka 2013 wanaJF,
Jaman naombeni msaada kwa anayefahamu anapofundishia dada Sabrina somo la Auditing and Assurance kwa wale wanaofanya mitihani ya NBAA module F,vile vile Center ya Goodwill Financial Consultancy ilipo au hata kama una mawasiliano yao nitafurahi sana jaman