Msaada...

Msaada...

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Nimesoma mahala kuwa "Nyani haoni kundule" Sio msemo ngeni kwangu ila naomba anaelewa anisaidie wanaposema Kundule wana maana ipi?
 
Kwanza niseme, Ashakum si matusi. KUNDULE ni neno linalotokana na neno ----- na kiangami (clitic) LE kinachotokana na LAKE. Mfano mwingine wa kiangami ni MAMAKO (mama + yako). Neno ----- hasa linatokana na ------. Kuondoa kiambishi M- kunafanya nomino hiyo iwe kubwa kwa maana ya kuikuza.
Hadithi yenyewe ni kwamba nyani ana makalio yanayochekesha kwa nyani wenzie. Lakini mwenyewe haoni kwamba yuko hivyo pia. Naye anawecheka wengine.
 
mkuu hukumundo, uko sahihi hiyo ndiyo maana yake. Matumizi yake ni kuhusu watu ambao wanapenda kukosoa mambo au udhaifu ambao hata wao wanao.
 
Back
Top Bottom