msaada

karma alvin

Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
51
Reaction score
8
jaman habari zenu.
nilikua nataka kufahamu je ni muda gani mwanamke anaweza kupata siku zake mara baada ya kujifungua.
 
Wiki 6 baada ya kujifungua. Au wiki 2 baada ya mimba kuharibika, bleeding hutokea na kama ukisex basi unapata mimba
 
inachukua muda gani mwanamke kuingia kwenye siku zake toka kujifungua
 
Nenda hospitali kamuone docta manake umepinda usitupotezee wakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…