M Mwana ali Member Joined Jan 19, 2013 Posts 14 Reaction score 6 Jan 19, 2013 #1 Nini dawa ya tumbo la hedhi?
Umkondo wa Swize JF-Expert Member Joined Dec 29, 2012 Posts 282 Reaction score 89 Jan 19, 2013 #2 Mwana ali said: Nini dawa ya tumbo la hedhi? Click to expand... meno pozi unaifahamu?
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 16,515 Reaction score 28,506 Jan 19, 2013 #3 Sidhani hii kitu ina dawa...dawa ni kuzaa tu maana nasikia ni chango linasumbua...ukishazaa linapotea lenyewe......
Sidhani hii kitu ina dawa...dawa ni kuzaa tu maana nasikia ni chango linasumbua...ukishazaa linapotea lenyewe......