jamani mi nilikua naumwa na sijaenda chuo tangu kimefunguliwa ila nafuatilia kwa karibu wanachosomeshwa wenzangu,maana wananirushia topic mi nazicheki cheki home na google so napata kidogo sio kama kukaa bure maana sio kama mgonjwa sana kiasi kwamba siwezi kusoma kwa sasa,just sijapata nguvu saana za kugombania daladala na kutembea kwa mda,so jana best yangu kaniambia tumepewa kazi ya kupresent,
so nimeifanya kwa kiasi kikubwa ila napata shida kupata,
main issues related to new public management,ni hilo tuu naombeni mnisaidie
so nimeifanya kwa kiasi kikubwa ila napata shida kupata,
main issues related to new public management,ni hilo tuu naombeni mnisaidie