msaada

msaada

Izzo G

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
414
Reaction score
62
habari zenu wana jf me nilikuwa naomba ushauri, nilimalza form six pcb mwaka jana na kupata div 3 ya point 14 malengo yangu yalikuwa kusomea udaktari ila kutokana na matokeo nilikosa chuo tcu wakanipangia bsc.physics udom tatzo hii kitu niliyopangiwa haiko damuni maana siko interest nayo maamuz ninayotaka kufanya ni kuomba diploma ya clinical officer nadhan njia.hii inaweza nifiksha kwenye malengo naomba mawazo yenu pia juu ya hili nawasilsha
 
Ilimradi ni mapenzi yako binafs.me nakutakia mafanikio mema tu mkuu.
 
habari zenu wana jf me nilikuwa naomba ushauri, nilimalza form six pcb mwaka jana na kupata div 3 ya point 14 malengo yangu yalikuwa kusomea udaktari ila kutokana na matokeo nilikosa chuo tcu wakanipangia bsc.physics udom tatzo hii kitu niliyopangiwa haiko damuni maana siko interest nayo maamuz ninayotaka kufanya ni kuomba diploma ya clinical officer nadhan njia.hii inaweza nifiksha kwenye malengo naomba mawazo yenu pia juu ya hili nawasilsha

from diploma ya clinical officer unaweza kwenda medical school. Tembele www.tihest.org if you need to apply that course throigh a private registered college.
 
Back
Top Bottom