Habarini wadau wa hili jukwaa samahani naombeni msaada eti nilijaribu kutuma post nikitaka kua attach na video sasa nimejaribu inaniambia niweke security codes na hiyo video nilitumiwa na mtu katika msn, sasa nifanyeje ili nipate hizo codes!! Nitashukuru kwa msaada wenu na siku njema