Lord Lofa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2011
- 2,390
- 2,396
nina mdogo wangu tulikuwa tunamwambie apige kitabu akawa analeta mzaa alipata 4 ya 29 mwaka 2010 familia ilishauliana la kufanya na tukakubaliana dogo akapige A level uganda dogo amemaliza na matokeo yake ana C ya geography E ya economics S ya math wao advance level wana masomo 4 moja la ziada alikuwa anafanya kiswahili hilo ndo
kalionea kapata A sasa naomba mnishauri wana jf huyu anaweza kupata chuo na kwa coz gani maana familia ina uwezo mdogo wa kumsomesha dogo nje ya nchi kwa ngazi ya chuo ushauri tafadhali wangwana
kalionea kapata A sasa naomba mnishauri wana jf huyu anaweza kupata chuo na kwa coz gani maana familia ina uwezo mdogo wa kumsomesha dogo nje ya nchi kwa ngazi ya chuo ushauri tafadhali wangwana