msaada

Lord Lofa

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2011
Posts
2,390
Reaction score
2,396
nina mdogo wangu tulikuwa tunamwambie apige kitabu akawa analeta mzaa alipata 4 ya 29 mwaka 2010 familia ilishauliana la kufanya na tukakubaliana dogo akapige A level uganda dogo amemaliza na matokeo yake ana C ya geography E ya economics S ya math wao advance level wana masomo 4 moja la ziada alikuwa anafanya kiswahili hilo ndo
kalionea kapata A sasa naomba mnishauri wana jf huyu anaweza kupata chuo na kwa coz gani maana familia ina uwezo mdogo wa kumsomesha dogo nje ya nchi kwa ngazi ya chuo ushauri tafadhali wangwana
 
atafute Diploma hapa Tanzania anaweza pata au akasome Certificate then aje aangalie namna ya kujiunga na masomo degree
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…