babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,643
- 3,301
nimekunywa konyagi,bt nina dose ya kikohozi ya dawa inayoitwa ZECUF,
je,nikinywa dawa ntapata madhara au haiwez kuniletea madhara?
na kama ntapata madhara,je ni yapi hayo?