babumapunda JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 4,643 Reaction score 3,301 Mar 28, 2013 #1 nimekunywa konyagi,bt nina dose ya kikohozi ya dawa inayoitwa ZECUF, je,nikinywa dawa ntapata madhara au haiwez kuniletea madhara? na kama ntapata madhara,je ni yapi hayo?
nimekunywa konyagi,bt nina dose ya kikohozi ya dawa inayoitwa ZECUF, je,nikinywa dawa ntapata madhara au haiwez kuniletea madhara? na kama ntapata madhara,je ni yapi hayo?
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,656 Mar 28, 2013 #2 Mkuu konyagi ni kitu muhimu sana kuliko maisha yako?
babumapunda JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 4,643 Reaction score 3,301 Mar 28, 2013 Thread starter #3 Ndibalema said: Mkuu konyagi ni kitu muhimu sana kuliko maisha yako? Click to expand... ndo imetokea nishakunywa xaxa
Ndibalema said: Mkuu konyagi ni kitu muhimu sana kuliko maisha yako? Click to expand... ndo imetokea nishakunywa xaxa