Msaada

Msaada

tersha

Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
25
Reaction score
12
Kwa anayejua naomba anisaidie,ni viongozi gani wenye kinga ya kimahakama?
 
kwa anayejua naomba anisaidie,ni viongozi gan wenye kinga ya kimahakama
kikatiba ni Rais wa nchi tu, wengine wote tunaburuzwa mahakamani muda na wakati wowote kama tutavunja sheria za nchi. kulikoni?
 
kuna kiumbe mmoja tumebishana naye sana! ye anasema hata wabunge wana kinga
 
kuna kiumbe mmoja tumebishana naye sana! ye anasema hata wabunge wana kinga

Yeah wabunge pia wana kinga kwa mambo yote wanayoongea bungeni, soma ibara ya 100(2) ya katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ya mwaka 1977
 
kuna kiumbe mmoja tumebishana naye sana! ye anasema hata wabunge wana kinga

Mbona hukumpa mfano wa yule mbunge wa Bahi aliyefikiswa mahakama kwa tuhuma za kupokea rushwa?
 
Back
Top Bottom