kikatiba ni Rais wa nchi tu, wengine wote tunaburuzwa mahakamani muda na wakati wowote kama tutavunja sheria za nchi. kulikoni?kwa anayejua naomba anisaidie,ni viongozi gan wenye kinga ya kimahakama
kuna kiumbe mmoja tumebishana naye sana! ye anasema hata wabunge wana kinga
kuna kiumbe mmoja tumebishana naye sana! ye anasema hata wabunge wana kinga