...Kwa hapo kwenye red unajionaje we mwenyewe kwa maoni yako???....Then naweza kukushauri cha kufanya..Naomba mchango wenu wa mawazo wanajamii
kuna mdada anajirengesha kwangu ila mimi sina mpango nae
sasa jana usiku katuma sms ktk simu yangu akilalamika kwamba namtesa
ksababu najua ananipenda ndio maana namletea mapozi sasa kibaya zaidi wife ndio mtu wa kwanza kuiona sms ameniwashia moto akinituhumu kwamba nammega yule demu nimejaribu kumuelewesha hanielewi kabisa na ameshaenda kushitaki kwa wazee wangu kwamba mimi sio muaminifu ktk ndoa so jpili natakiwa ktk kikao na wazee.je waunwana mnanishaurije?
Mimi ni muaminifu 100% ndio maana hata wife cm yangu yuko huru nayo siifichi wala nini nashangaa huyo binti amepataje namba kiukweli waungwana
sijawahi kummega huyo binti
Usijali kaka,Mungu ndiye huwa anajua mambo ya sirini kwani Mungu anaangalia moyo na sie wanadamu tunaangalia sura.Wewe cha kufanya nadhani uwe mpole tu kwa sababu ishatokea.Nenda kwenye kikao kama walivyokuita na endelea kuusimamia ukweli kama unavyodai.Usife moyo, hayo ni majaribu tu yatapita zaidi Mungu Mungu akuepushe na mabalaa yanayoinyemelea ndoa yako.Tafuta njia ya kumdhibitishia mkeo kuwa wewe ni mwaminifu na hayo mawasiliano na huyo dada yakate kwa njia yoyote ile.huo ndio ukweli wangu sina haja ya kuficha kitu sasa kama naficha au naongopa kuna haja gani ya mimi kuomba ushauri?
weye kicheche tu....kwanini mnaoa wakti mnapenda totozi mbichi mbichi? acha hizo...Mimi ni muaminifu 100% ndio maana hata wife cm yangu yuko huru nayo siifichi wala nini nashangaa huyo binti amepataje namba kiukweli waungwana
sijawahi kummega huyo binti
huo ndio ukweli wangu sina haja ya kuficha kitu sasa kama naficha au naongopa kuna haja gani ya mimi kuomba ushauri?
Sipo, Fidel80, Masanilo, MTM, Chrispin, Yo Yo, hili linawahusu sana....kwanini mnaoa wakti mnapenda totozi mbichi mbichi?