AfricaUnited
JF-Expert Member
- Jul 31, 2010
- 2,367
- 1,293
Za mchana wana jamii forum?,samahani,nimepata taarifa kuwa sisi wanafunzi tuliosoma private alafu course za arts na business kama siyo yatima hatupati mkopo wa chuo kikuu,kwahiyo nilikuwa naomba kujuzwa kama kuna ukweli ili nijiandae kifedha.