AfricaUnited JF-Expert Member Joined Jul 31, 2010 Posts 2,367 Reaction score 1,293 Apr 21, 2013 #1 Za mchana wana jamii forum?,samahani,nimepata taarifa kuwa sisi wanafunzi tuliosoma private alafu course za arts na business kama siyo yatima hatupati mkopo wa chuo kikuu,kwahiyo nilikuwa naomba kujuzwa kama kuna ukweli ili nijiandae kifedha.
Za mchana wana jamii forum?,samahani,nimepata taarifa kuwa sisi wanafunzi tuliosoma private alafu course za arts na business kama siyo yatima hatupati mkopo wa chuo kikuu,kwahiyo nilikuwa naomba kujuzwa kama kuna ukweli ili nijiandae kifedha.
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Apr 21, 2013 #2 Ni kweli.jipange!