M mullar Member Joined Mar 8, 2013 Posts 83 Reaction score 8 Apr 21, 2013 #1 Habari zenu wakuu kuna rafiki yangu anatatizo ameota vipele vidogo vidogo kwenye mstari wa kichwa cha uume. Je huu ni ugojwa msaada wakuu!
Habari zenu wakuu kuna rafiki yangu anatatizo ameota vipele vidogo vidogo kwenye mstari wa kichwa cha uume. Je huu ni ugojwa msaada wakuu!
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,697 Reaction score 15,497 Apr 21, 2013 #2 ungekuwa ni wewe mwenyewe ningekusaidia!ila kwa vile si wewe basi!!
Chocs JF-Expert Member Joined Aug 21, 2012 Posts 8,411 Reaction score 4,777 Apr 21, 2013 #3 Lazima ni tatizo...aende hospital
M mullar Member Joined Mar 8, 2013 Posts 83 Reaction score 8 Apr 21, 2013 Thread starter #4 Zamaulid said: ungekuwa ni wewe mwenyewe ningekusaidia!ila kwa vile si wewe basi!! Click to expand... Nivizur zaidi kama 2 kamsaidi coz angekua anapenda ilo tatizo ange endelea kuwa kimya
Zamaulid said: ungekuwa ni wewe mwenyewe ningekusaidia!ila kwa vile si wewe basi!! Click to expand... Nivizur zaidi kama 2 kamsaidi coz angekua anapenda ilo tatizo ange endelea kuwa kimya