msaada

shumbuo

Member
Joined
Mar 25, 2013
Posts
41
Reaction score
24
Habari zenu wana jf naombeni msaada wenu kwa anaejua dawa ya kunyoosha sehem ya sili mimi ni mvulana.
 
wapi unamaana gani? kwa kifupi uume wangu umepinda.
 
Awali ulikua umenyooka?
Nini kimesababisha ukapinda?
 
ndio awali ulikuwa umenyooka.
kilicho sababisha kupinda ni kuvaa chupi masaa 24
Chupi?!
Ya namna gani hiyo chupi mpaka ipindishe?
Itakua inakubana kiasi kwamba misuli inashindwa kurudi katka hali ya kawaida
Nenda hospital utapata majibu kamili
Pole sana.
 
Kijana acha uwoga...kupinda kwa uume ni jambo la kawaida na wala halina athari na uwezo wako wa kujamiana.
Hivyo punguza wasiwasi na endelea na maisha yako kama kawaida, kwani hakuna dawa ya kuweza kuufanya unyooke.
 
Asiwe anavaa nguo za ndani, itarudia kawaida yake. Uzuri ni kwamba kupinda au kunyooka hakuathiri kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…