msaada

msaada

nash2010

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2010
Posts
624
Reaction score
216
wadau
Wizara ya katiba na sheria kwa kizungu wanai itaje?

Kwenye website yao hawajaweka moja kwa moja ila ukiangalia hotuba na documents zilizopo hapo zinaonyesha majina haya

1. Ministry of constirutional and legal affairs

2. Ministry of constitutional affairs and justice

3. Ministry of justice and constitutional affairs

je haya yote yanaweza kutumika? Kama jibu ni hapana, basi jina lipi linatumiwa na hii wizara kwa sasa.
 
Back
Top Bottom