Naomba anayeweza kuniambia kama ni ugonjwa au ni hali tuu ya kawaida inayoweza kumtokea mtu..
kisa chenyewe ni hivi kuna msichana nilikuwa na mahusiano nae kwa takribani miezi 10 hivi akaja akaanza kudate na mtu mwingine sasa shida inakuja pale ninapotaka kuanzisha uhusiano a mtu mwingine inakuwa shida nashindwa kumsahau huyo wa zamani mpaka inapelekea naona kama ugonjwa yaani nakuwa na msongo wa mawazo sielewi hata ni nin ....kama ni ugonjwa nin tiba yake