msaada

AfricaUnited

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2010
Posts
2,367
Reaction score
1,293
habari wana jamii forums,kuna rafk yangu alienda kusoma uganda kwa sababu yeye alikuwa hana requirement za credit tatu kwenda advance,kamaliza advance uganda kafaulu kwa kiwango cha daraja la kwanza uganda,sasa anaataka kusoma tanzania,je ataweza soma tanzania?maana nasikia TCu wanataka mtu o level awe na credit tatu,je kuna njia nyngine ya kuwa admitted chuo'?
 
Kama ana uwezo wa kitaaluma si arudie tu mtihani wa O' level apate hizo credit. Yaani mtu aliyepata div. 1 high school anaogopa mtihani wa O' level? au Uganda amefaulishwa kimazabe?
 
Ili ntakujibu mdau, ngoja nifuatilie wanafunzi waliosoma uganda kwa mfumo huo, nawakabahatika kujoin vyuo hapa bongo. ntakupa taarifa hivi soon.
 
ukijisajiri Tcu mpaka uwe na credit 3,ninajamaa yangu nae kafauru vzuri sana Alevel uganda,ila form four alikuwa na credit pass 2 tu vipindi vingine D,wakati wa usajiri last year TCU walisema mpaka awe na Credit 3 o'level
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…