HMJ Senior Member Joined Apr 24, 2013 Posts 157 Reaction score 21 May 31, 2013 #1 Wakubwa naomba munisaidie nimepata four ya 26 nna C ya chemia na C ya bio zilizobaki zote D nawezakupata chuo gani cha serekal coz uwezo wangu mdogo wa kifedha Na nisomee kitu gan?
Wakubwa naomba munisaidie nimepata four ya 26 nna C ya chemia na C ya bio zilizobaki zote D nawezakupata chuo gani cha serekal coz uwezo wangu mdogo wa kifedha Na nisomee kitu gan?