Msaada

Msaada

Pearl

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2009
Posts
3,036
Reaction score
319
Dr,nahitaji msaada,mm nilianguka bafuni,baada ya kupiga ex ray nikaonekana nina flacha,nikawekwa P.O.P,KWAKWELI NILIKUWA NAUMIA SANA NA HIYO P.O.P.nikaitoa,mguu bado unavimba,unakuwa mweusi na ngozi inachunika je nifanyeje?nikamuone DR.yupi atanisaidia?
 
kabla kukupa maelezo ya kitaalam inabidi kwanza ueleze.

ilikuwaje ukaanguka bafuni? whyy?? huh!
 
Sasa kwanini ukatoa P.O.P bana. Hapo ndio ulipokosea. Rudi kwa daktari yule yule aliyekuwekea P.O.P. Sawa?
 
niliteleza ilikuwa usiku nimestuka niende kujisaidia sas kujumlisha usingingi na mwanga wa taa + tilez,nikadondoka,p.op nilitoa coz mguu mwingine ulikuwa unauma na kuvimba sana nadhani coz nilikuwa nauganyagia sana maana mwingine una p.o.p,nisaidieni jamani

kurudi kwa Dr.yule naweza but najua atanisema sana na watu wengine wanasema hiyo hsp (iko mitaa ya pugu road)kabla ya tazara kama unatoka mjini si nzuri kiivyo,wanashauri niende hsp nyingine.
Sasa kwanini ukatoa P.O.P bana. Hapo ndio ulipokosea. Rudi kwa daktari yule yule aliyekuwekea P.O.P. Sawa?
 
na wewe nawe mbishi umesikia wapi waliodondoka bafuni wamepona au unaogopa nini hasa,ndio ukubwa toa sbb tuweze kunusuru maisha yako
 
Unatakiwa upate bed rest kwa muda mrefu ili uvimbe uishe, usiutembeze mguu, unaweza kupewa ant pain kutokana na hali ya maumivu yako zipo za aina nyingi ila anticoagulant ni nzuri zaidi kwasababu ya kuzuia blood clotting isije kukuletea matata mengine makubwa zaidi tukakukosa,
Lazima pia dr aone kama wahitaji dawa za kupunzuza uvimbe ili baada ya uvimbe kupungua kabisa ufanyiwe marekebisho na kufungwa upwa P.O.P..!!!! Pole sana mkuu !!!!
 
Ni vizuri, haraka nenda pale MOI Muhimbili, mwone daktari utakaepangiwa , atakuandikia ipige picha x-ray na majibu utapata pamoja na tiba. MOI unaweza fanya appointment lakini wakati mwingine wanachelewesha hivyo tafuta referal toka hospitali yeyote ndogo.
 
niliteleza ilikuwa usiku nimestuka niende kujisaidia sas kujumlisha usingingi na mwanga wa taa + tilez,nikadondoka,p.op nilitoa coz mguu mwingine ulikuwa unauma na kuvimba sana nadhani coz nilikuwa nauganyagia sana maana mwingine una p.o.p,nisaidieni jamani
nishadili na kesi nyingi lakini hii yako ni kesi ngumu sana, acha nikatafte brifkes yangu ya matibabu . wakati nakutaftia matibabu hakikisha unabadilisha tilez za bafuni na acha uzembe wa kutembea tembea gizani, kama tatizo ni bili la umeme sema tukulipie, tunakuhitaji sana hapa jf ,punguza uzembe.
 
Unatakiwa upate bed rest kwa muda mrefu ili uvimbe uishe, usiutembeze mguu, unaweza kupewa ant pain kutokana na hali ya maumivu yako zipo za aina nyingi ila anticoagulant ni nzuri zaidi kwasababu ya kuzuia blood clotting isije kukuletea matata mengine makubwa zaidi tukakukosa,
Lazima pia dr aone kama wahitaji dawa za kupunzuza uvimbe ili baada ya uvimbe kupungua kabisa ufanyiwe marekebisho na kufungwa upwa P.O.P..!!!! Pole sana mkuu !!!!
haka kaushauri kametulia.
 
what your saying is very true coz the same mguu naendeshea gari nadhani nahitaji rest as you said,thx alot dear.
Unatakiwa upate bed rest kwa muda mrefu ili uvimbe uishe, usiutembeze mguu, unaweza kupewa ant pain kutokana na hali ya maumivu yako zipo za aina nyingi ila anticoagulant ni nzuri zaidi kwasababu ya kuzuia blood clotting isije kukuletea matata mengine makubwa zaidi tukakukosa,
Lazima pia dr aone kama wahitaji dawa za kupunzuza uvimbe ili baada ya uvimbe kupungua kabisa ufanyiwe marekebisho na kufungwa upwa P.O.P..!!!! Pole sana mkuu !!!!
 
sio giza,taa ilikuwa imewaka sasa nimetoka kwenye usingiza sa 7 usiku
nishadili na kesi nyingi lakini hii yako ni kesi ngumu sana, acha nikatafte brifkes yangu ya matibabu . wakati nakutaftia matibabu hakikisha unabadilisha tilez za bafuni na acha uzembe wa kutembea tembea gizani, kama tatizo ni bili la umeme sema tukulipie, tunakuhitaji sana hapa jf ,punguza uzembe.
 
lets try to be serious in serious issues guys,its very bad to take everything for granted, si lazima utoe ushauri kama huna idea na jambo liliozungumzwa kama ni ishu inayotaka utaalam nawe huna ACHA TAFADHALI.
 
Back
Top Bottom