Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina matatizo ya kua na muwasho mkali sehem za njia ya haja kubwa ni muwasho mkali hasa nikitoka kujisaidia, nimejaribu kutumia dawa za kienyeji lakini hakuna mafanikio naomba msaada nitatizo gani lilonisibu. Nakosa amani.
Tumia cream moja inaitwa SKINEALNina matatizo ya kua na muwasho mkali sehem za njia ya haja kubwa ni muwasho mkali hasa nikitoka kujisaidia, nimejaribu kutumia dawa za kienyeji lakini hakuna mafanikio naomba msaada nitatizo gani lilonisibu. Nakosa amani.