Msaada.

Bahimba

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Posts
510
Reaction score
346
Nina matatizo ya kua na muwasho mkali sehem za njia ya haja kubwa ni muwasho mkali hasa nikitoka kujisaidia, nimejaribu kutumia dawa za kienyeji lakini hakuna mafanikio naomba msaada nitatizo gani lilonisibu. Nakosa amani.
 
Hili jukwaa huwezi pata majibu.....zaidi sana utaambulia dhihaka na matusi....peleka jukwaa la Jf Doctor, vp unatumia sana pilipili?
 
Nina matatizo ya kua na muwasho mkali sehem za njia ya haja kubwa ni muwasho mkali hasa nikitoka kujisaidia, nimejaribu kutumia dawa za kienyeji lakini hakuna mafanikio naomba msaada nitatizo gani lilonisibu. Nakosa amani.
Tumia cream moja inaitwa SKINEAL
Ni nzuri sana ila nakushauri upime na minyoo!
 
Hiyo ni minyoo. Nenda duka la dawa na uwaambie wakupe broad spectrum antiworm yoyote utumie. Usisahau kusoma pakti ya maelekezo kabla ya kutumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…