Abdallah kimwaga
Member
- Dec 16, 2012
- 49
- 8
Habari ndugu zangu.jamani naomba msaada.ni hivi nina mtoto wa miaka 12, tatizo lake ni kupatwa na kizunguzungu mara kwa mara .damu anayo yakutosha tu.
Wajuzi wa mambo naomboni mnitajie japo dawa ili niweze kumaliza hilo tatiza la mwanangu.
Wajuzi wa mambo naomboni mnitajie japo dawa ili niweze kumaliza hilo tatiza la mwanangu.