Hi guyz, me ni mwanamke mjasiriamali. Nilipatwa na mitihan fulan ya kimaisha lakn namshukuru mwenyez mungu nimesimama tena kwa miguu yangu. Lengo la kuja kwenu ni kuomba msaada wa kukopeshwa elf50 za kitanzania kwa ajil ya kumalizia ukarabati wa saluni yangu niliyoijenga mwenyewe. Nimekwama hapo tu wandugu. Nisaidieni mtanzania mwenzenu nahangaika. Atakayeguswa na tatizo langu aniPM nimpe namba ya kunitumia Mpesa. Dhamana yangu ni saluni niliyonayo.
mungu awabariki sana wapendwa