Y young k Senior Member Joined Aug 18, 2013 Posts 141 Reaction score 16 Aug 29, 2013 #1 Kwa yoyote anayeijua IFM,naomba atujuze kinafunguliwa lini na mambo mengine mengi zaidi kuhusiana na hiki chuo tafadhali,ili tujue tunaanza application lini tuweze kuja mjini mapema tusije yukachelewa.
Kwa yoyote anayeijua IFM,naomba atujuze kinafunguliwa lini na mambo mengine mengi zaidi kuhusiana na hiki chuo tafadhali,ili tujue tunaanza application lini tuweze kuja mjini mapema tusije yukachelewa.
MKANKULE JF-Expert Member Joined Dec 8, 2011 Posts 418 Reaction score 94 Aug 29, 2013 #2 Sijaelewa unaposema ufanye aplication mapema wakati huu sio muda wa aplication,kwa maelezo zaidi tembelea website yao,
Sijaelewa unaposema ufanye aplication mapema wakati huu sio muda wa aplication,kwa maelezo zaidi tembelea website yao,