Mwandwanga
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,059
- 1,572
Habari wanajamvi,
Nimepokea pesa toka kwa mdau mwenzangu aliyepo ughaibuni (CANADA).
Tatizo ni jinsi ya kuitoa hiyo pesa maana haijapitia Mpesa, wala Western Union, na sms iliyoingia kunijurisha ipo hivi "Congratulation! You've received 945000 TZS from **************. Thank you for using WorldRemit.
Msaada wanajamvi ninawezaje toa au kutumia hii pesa.