Msaada

Joined
Aug 24, 2013
Posts
30
Reaction score
1
..jaman ndugu zangu..me nlkuwa nahtaj msaada juu ya hl..me nmechagulia st marks dar ambayo n taw la st john..bt selection zmetoka lakin me cjaona jina langu kwny hayo majina yote yalitoka..na klchonshanga n kwamba majina yako mia nane karbia na sitn huko..ss me nlkuwa na hoj hv..je hayo majina yanaweza yakawa n yote wameshatoa au hyo n kwa campus moja tu..cz pale hawajaonesha hata kama majina n main campus au n st mark..nlkuwa naomba msaada juu ya hl..
 
mimi pia naomba msaada wanajf,nimepangwa UDSM tawi la MUCE,lakini sijaona jina langu kabisa,pia naomba msaada kwa anaejua zaidi kuhusu mkwawa university collage of education,malazi yapo?adimission lleter unaweza kuchukulia main campus?pia naomba kujua mambo yote yamsingi kuhusu MUCE,be bleced all.
 
jaribu kuwasiliana na chuo chako, inawezekana ikawa ni typing error tu, mskate tamaa ndugu zangu......
 
kama upo hapa Dar fika pale buguruni malapa utapata msaada zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…