Msaada

Yasin Yahya

Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
33
Reaction score
0
Hbr zenu wakubwa?
Nimemaliza form 4 mwk jana nimepata
4-30
yaani nimepata
B/Keepng =D
Commerce =D
Biology =D
Math =C
Nilienda kutafuta kituo kw ajili ya kurudia mthani,nikapata nikalipia kila kitu but kuna watu wengine walinishauri nitafute chuo.
Coz kurudia wanadai kunazingua.
Mi niliwasikiliza nikaenda kutafuta chuo na nikapeleka maombi.
Bado majibu hayajatoka ya chuo.
Je?kutofanya mtihani kuna weza kuniathir kitu gani?
Vp kuhusu mu0na wako naweza kupiga paper na huku nikiendelea na chuo endapo nita chaguliwa?au niachane na kurudia paper na nisome chuo endapo nitachaguliwa?
Msaada wakubwa
 
Soma tu chuo,coz sikuhizi NECTA wanabana sana...maoni yangu
 
kama utapata chuo kinachoeleweka na pia ukiwa na sponsor basi bora usome chuo..necta hawaaminiki hawa
 

mkuu believeness is the guidance of your thought !
Inaonekana wazi kuwa unatatzika i mean u do not know how to start up... Sawa ujabahatika kwenda advance ila lazima dreams ziwe constant .
Cha msingi kama unalotumaini na umejidhatiti kurudia paper just for the sake of Mlango mmoja ukijifungi mingi iko wazi.
Ila u need to take risk kwa kuwa kunachangamoto nyingi ilhali mawazo unayopata ni mengi na juu ya hili mengi huwa yana vunja moyo and suddenly yana lower your confidence dats why most of reseators wanafeli. Ila nimtazamo tu wakifikra
CHAMSINGI....
Nenda chuo because zipo advantage nyingi ..
Kwanza unasomea professional piili what ever unaanza katka levels ndogo certificate lakini kujiendelza kupo
tatu ajira zipo kibao tu cha msingi ni kutake risk na uchaguzi wa course .
Camooon what ar u waiting for WAKE UP,DRESS UP & fight for your dreams
 
Unauwezo wa kufanya mtihani na kusoma Chuo kwa pamoja.Ila unahitajika kujituma kwa bidii kumudu masomo yote.Kuna ndugu yangu alikua anasoma chuo huku anarist na alipata credit zote kwa ufauru mzuri.Kujitabua na kujiamini utafanikiwa.
 

Kweli wewe ndo Trust ME
 
Last edited by a moderator:
Kweli wewe ndo Trust ME

Usisahau kuja kutupa feedback kuwa umeamuaje na cha msingi fanya maamuzi early kwani muda haukusubiri .
Najua utafanikiwa kwani penye nia pana njia kaka.
 
Last edited by a moderator:
kwanza naamin kua kwako ni bahat mbaya kutopata nafas ya A level,nakushaur ukiwa chuo piga tena hlo paper itakusaidia sana mbelen Ukihitaj kujiendelez
a,big up kwa kupat c ya maths
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…