wakuu naskia pale lugalo military supermaket wanauza vitu bei rahisi,sasa mwenye kujua anijuze kama naweza pata laptop pale kama ni bei raisi.kuhusu kitambulisho .cha jesh haina shida.
kwa wanafunzi haina shida,ukifika tu getini utaonyesha kitambulisho chako cha chuo[ID] baada ya hapo utaruhusiwa kuingia ndani,kila kitu kipo na kwa bei rahisi,karibuni UDSM