hi.... i salute u in da name of our country.jaman mm nna case ya mirathi yenyeumri wa miaka kumi sasa. ni case ambayo ilikua na mvutano kidogo ila badae mahakama ikatoa ruling yakwamba warithi wote wanatakiwa wapewe haki zao.ila msimamizi alikua ni mama yetu wa kambo ambae alikua hataki turith chochote...amekaaa zaidi ya mwaka hajafanya kaz yoyote kuhusu kukusanya na kugawa mali kwa watu wanao stahili.alikua akitoa rushwa kwa hakim moja anaeitwa mahakama ya kinondoni mwenye jina la makabwa..,swali ni je hakimu akishindwa kutoa hukumu ndani ya wakati au kwa mda wa miaka mitano,anatakiwa kupelekwa wapi ili akosolewe?mana mahakamani pale wanadai eti file limepotea wakat miez kama 4 iliopita lilikuepo,na tukimuuliza mama yetu wa kambo anadai asisumbuliwe.niende wapi ili niweze kupata haki zangu pamoja na wadogo zangu?ila documents zote zamajibizano nnazo ambazo zinaweza kuonyesha jinc hakimu alivokua unfair.msaada tafadhali