habari wadau. Inamaana mi pamoja na kuchaguliwa Mechanical Engineering mkopo ndo nimekosa au kuna jinsi naweza kupata? Naona dream ya chuo inataka kupotea kabisa. Naombeni msaada wadau
Usikate tamaa na siku zote katka maisha ukiona kila kitu maishan kinaenda vzur (mteremko) jiangalie vzuri huenda ukawa unaota ndoto ya maisha kwhy tambua unapokumbana na vkwazo ndo uweke akili katka kupambana lakn uskate tamaa