Mimi sidhani kama wewe umerukwa na akili...anyway swalilo ilibidi utupie kule jukwaa la lugha!!! Sema kwa sababu hili ni jukwaa la elimu basi tutambue kuwa hili ni jukwaa mama!! Ngamia ni neno lenye maana mbili; kwanza ngamia ni mnyama anayeishi jangwani na pia ngamia ni kamba kubwa ambayo hutumika katika vyombo vya baharini kama mashua,ngalawa pia meli. Hope nimekujuza!