Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,495
- 5,025
Ndugu habari ,naomba mnisaidie kuhusu hili,nimekuwa nikiugua mba kwamda mrefu na niendapo hospital hupewa dawa na niamiapo hupona kwa miez6>9 Lakini hurudia tena hvyo kwa anayejua kuhusu hili suala hasa tiba ya kudumu anisaidie ,Ikumbukwe ni mba za mwili na kichwa pia