Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah! hii course bhana naikumbuka vizuri sana, niliisoma zamani sana, kwa Tanzania hii course ni nzuri sana ila ni mbaya acha tu, ajira yake ipo sana tu lakini huipati hata kidogo kwa sababu hakuna kabisa ajira ya hii course, mshahara sasa, hapo ndo patamu mshahara mnono ila kiduchu, kuna wakati mshahara unapanda hadi shilingi tatu, duh kuna wakati mshahara wake unashuka hadi senti hamsini. Hii kozi bhana ina mambo!