Msaada!

almasy

Member
Joined
Oct 21, 2013
Posts
12
Reaction score
14
Kwa wale wenye uelewa juu kozi ya automobile engineering naomba mnieleweshe kiundani hiyo kozi inahusu nini;carriers wake wanafanya kazi gani; ina status gan ktk nchi yetu? Natumai kupata maoni ya kujenga! Wenu ktk Ujenzi wa TAIFA.😕:
 
Dah! hii course bhana naikumbuka vizuri sana, niliisoma zamani sana, kwa Tanzania hii course ni nzuri sana ila ni mbaya acha tu, ajira yake ipo sana tu lakini huipati hata kidogo kwa sababu hakuna kabisa ajira ya hii course, mshahara sasa, hapo ndo patamu mshahara mnono ila kiduchu, kuna wakati mshahara unapanda hadi shilingi tatu, duh kuna wakati mshahara wake unashuka hadi senti hamsini. Hii kozi bhana ina mambo!
 

Asante mshiriki mada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…