Msaada

Msaada

Mrs.G

Member
Joined
Oct 19, 2013
Posts
13
Reaction score
0
Jamani majibu yametoka ila kuna list ya rizevu wana maanisha nini maana mimi sielewi,naombeni msaada
 
Jamani majibu yametoka ila kuna list ya rizevu wana maanisha nini maana mimi sielewi,naombeni msaada

Hiyo ina maanisha ya kwamba kama mtu aliyechaguliwa asipo wasili katika nafasi yake, ndo anawekwa RESERVE.
 
Mbona reserve ya certifcat ya maabara sijaiona? Mwenye kujua
 
Back
Top Bottom