Mrs.G Member Joined Oct 19, 2013 Posts 13 Reaction score 0 Nov 1, 2013 #1 Jamani majibu yametoka ila kuna list ya rizevu wana maanisha nini maana mimi sielewi,naombeni msaada
S Sospetergideon JF-Expert Member Joined Aug 9, 2013 Posts 300 Reaction score 16 Nov 1, 2013 #2 Mrs.G said: Jamani majibu yametoka ila kuna list ya rizevu wana maanisha nini maana mimi sielewi,naombeni msaada Click to expand... Hiyo ina maanisha ya kwamba kama mtu aliyechaguliwa asipo wasili katika nafasi yake, ndo anawekwa RESERVE.
Mrs.G said: Jamani majibu yametoka ila kuna list ya rizevu wana maanisha nini maana mimi sielewi,naombeni msaada Click to expand... Hiyo ina maanisha ya kwamba kama mtu aliyechaguliwa asipo wasili katika nafasi yake, ndo anawekwa RESERVE.
Mrs.G Member Joined Oct 19, 2013 Posts 13 Reaction score 0 Nov 7, 2013 Thread starter #3 ahsante kaka
Jben Member Joined Jul 22, 2013 Posts 70 Reaction score 1 Nov 8, 2013 #4 Mbona reserve ya certifcat ya maabara sijaiona? Mwenye kujua