msaada

limi

Senior Member
Joined
Jun 8, 2013
Posts
124
Reaction score
32
Habarini...ni kawaida kwa mtu kupitiliza siku zake za hedhi???nilikuwa na mzunguko wa siku 28,ukabadrika kwa miezi miwili iliyopita na kupata mzunguko wa siku 25,mwez huu imepitiliza mpka 29 inaenda 30....
 
Ni kawaida ingawa huwa kuna sababu zake, kwahiyo angalia kuna jambo gani limeenda ndivyo sivyo mwilini mwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…