habari zenu wana jamvi,,naombeni msaada wa kujua haya mambo kisheria zaidi,,
ninachohitaji kujua ni dhamana mtua anayoambiwa kutoa,,je ile dhamana inarejeshwa/rudishwa kwa mtuhumiwa pindipo ataporudi pale alipopangiwa arudi tena mahakamani kwa kesi yake,,au ndio inakua basi tena?yaani sielewi kuhusu dhamana kiujumla,,nahitaji kufahamishwa tafadhali