unataka elimu bora au bora elimu? maana kuna hivi vyuo vya mtaan ambapo hata kama huna chet cha 4m4 unapata certificate tatizo linakuja baada ya kuhitimu.
Vyuo vingi vinavyoeleweka unatakiwa uwe na D tano au zaid,hutapata shida kuendelea na levels zingine za elimu.