Msaada

Msaada

Joined
Aug 9, 2013
Posts
12
Reaction score
0
Naombeni mnifahamishe mda wa mwisho wa kulipia mtihani wa kidato cha nne kwa private candidate(pc) bila penalt kwani nasikia muda umeongezwa
 
ilikua tar 28 feb mwisho ila wamesogeza hadi 31 march.then penalty ni april yote hakuna muda mwingne waziada.

alafu acha tabia ya kubakibaki nyuma.wabongo bhana hawako seriouz kbsa
 
Back
Top Bottom