J Joseph mboneko Member Joined Aug 9, 2013 Posts 12 Reaction score 0 Mar 9, 2014 #1 Naombeni mnifahamishe mda wa mwisho wa kulipia mtihani wa kidato cha nne kwa private candidate(pc) bila penalt kwani nasikia muda umeongezwa
Naombeni mnifahamishe mda wa mwisho wa kulipia mtihani wa kidato cha nne kwa private candidate(pc) bila penalt kwani nasikia muda umeongezwa
DZUDZUKU JF-Expert Member Joined Nov 8, 2012 Posts 3,909 Reaction score 2,115 Mar 9, 2014 #2 Ingia www.necta.go.tz utapata taarifa zoooooote uzitakazo, zimeandikwa kwa kiswahili na kiinglish.
M mbontafo Member Joined Feb 24, 2014 Posts 87 Reaction score 40 Mar 10, 2014 #3 ilikua tar 28 feb mwisho ila wamesogeza hadi 31 march.then penalty ni april yote hakuna muda mwingne waziada. alafu acha tabia ya kubakibaki nyuma.wabongo bhana hawako seriouz kbsa
ilikua tar 28 feb mwisho ila wamesogeza hadi 31 march.then penalty ni april yote hakuna muda mwingne waziada. alafu acha tabia ya kubakibaki nyuma.wabongo bhana hawako seriouz kbsa