Msaada

cc_africa

Senior Member
Joined
May 30, 2010
Posts
121
Reaction score
2
Hali zenu wandu. Kuna rafiki yangu amepatwa na ungonjwa waajabu,KWENYE LIPS YA MDOMO WAKE UMEKUWA MWEKUNDU(AMEKUWA KAMA M2 ALIE KUWA ANATUMIA KILEVI KIKALI)SASA KILA KADRI SIKU ZINAVYOKWENDA IMEKUWA INATOKA DANI NA KUJA KWA JUU ZAIDI.MSAADA WENU WANDU AFANYEJE ILI AWEZE KUONDOA HILI TATIZO?
 
REKEBISHA LUGHA .,DANI[damu au ndani,,Wandu?]
 
Aling'oa Gugu maji wapi tena? maana watu wanaozama uvinza angalia midomo yao utawajua tu hahahaha nimecheka vibaya mno bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…