I Ilambo JF-Expert Member Joined Oct 19, 2012 Posts 475 Reaction score 89 Apr 11, 2014 #1 Mke wangu alitumia dawa ya metro, kumbe alikuwa ndo anaconserve mimba, sasa tumbo linamuuma, kiuno, kutapika na kuhc bleedng nisaidie doctor tatizo nin? Na km mimba ikiendelea kukua mtoto atakuwa na tatizo gani, msaada tafadhari.
Mke wangu alitumia dawa ya metro, kumbe alikuwa ndo anaconserve mimba, sasa tumbo linamuuma, kiuno, kutapika na kuhc bleedng nisaidie doctor tatizo nin? Na km mimba ikiendelea kukua mtoto atakuwa na tatizo gani, msaada tafadhari.