Msaada

Msaada

nkyagila

Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
36
Reaction score
3
Naomba kujua kujua kodi ya kuleta gari aina ya suzuki escudo ya 2006 bei yake ni usd 8300 mpaka mombasa. Matumizi yake ya mafuta, uimara wake pamoja na spare. Ila siyo ya biashara.
 
Back
Top Bottom